Life is Short.........ENJOY
Tuesday, June 11, 2013
KUFUNDISHA MTOTO
Mama: "Mwanangu,njoo nikufundishe hesabu.."
Dogo: "Haya mama."
Mama: "Kwa mfano shangazi yako akikupa maandazi mawili, halafu
akakupa tena maandazi mawili jibu lako litakuwa nini?"
Dogo: "Asante shangazi."
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment