Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari lake.
Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake ili amuwahishie mana giza lilishaingia
Akakutana na askari watano (5)wakiwa doria, akajua lazima watataka rushwa.
Askari;Wewe Unakwenda wapi na hilo jeneza usiku huu?
Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa makaburi ya KINONDONI sijapapenda ndo naelekea KISUTU nikajizike au mnanishaurije ndugu zangu?
Acha askari watimue mbio
Chezea mzimu wewe...!!
No comments:
Post a Comment