Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao:
TINA: mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu mwalimu.
MWALIMU: Safi, haya juma
JUMA: Baba yangu dereva mama yangu hafanyi kazi.
MWALIMU: Vizuri, haya Zogo.
ZOGO: Mimi mama yangu malaya anajiuza baba simjui.
MWALIMU: Pumbavu wewe, nenda ofisini kwa mwalimu mkuu ukamueleze upuuzi wote uliosema hapa.
Zogo anaenda ofisini anarudi huku anatabasamu na anakula biskuti.
MWALIMU: Mwalimu mkuu kakupa adhabu gani?
ZOGO: Kaniambia nimpe namba ya mama...
🙌
No comments:
Post a Comment