Saturday, October 27, 2012

BABA NA MTOTO WAPO MEZANI WANAKULA..

BABA NA MTOTO WAPO MEZANI WANAKULA..

MTOTO.."Baba ona hii"


BABA..."Kimya,nimekwambia hakuna kuongea wakati wa kula..

BAADA YA KUMALIZA KULA..



BABA..."Haya niambie,ulikuwa unasemaje..?



MTOTO..."Nilitaka kukwambia kuwa kuna mende kwenye chakula chako"..






No comments:

Post a Comment