Saturday, October 13, 2012

MATOKEO YA CHUO

bibi mmoja kaenda dukani na mjukuu wake, kufika pale mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:

BIBI:"Degree,mpatie huyo muuzaji izo pesa akupe paketi ya maziwa"

MUUZAJI:"Huh! Wee bibi mjukuu wako anaitwa Degree?!"


BIBI:"Ndio"

MUUZAJI:"Kwa nini?"

BIBI:"Kwa sababu nilimpeleka binti yangu chuo kikuu na hiki ndio alichorudi nacho!"



No comments:

Post a Comment