Tuesday, April 30, 2013

JEURI MBAYA


Hii ilitokea katika daladala litokalo posta kwenda ubungo, 

kondakta kauliza ''manzese hapo kuna mtu anashuka?'' 

Dada m1 akajibu ''Tuna mitandio''. 

Konda kauchuna, 

kufika ubungo maziwa yule dada kafika akamwambia konda, 

''Konda nashuka maziwa'' 

Konda akamwambia 

''Kayanunulie sidiria''.

No comments:

Post a Comment