Monday, April 1, 2013

MAMBO YA FESIBUKU

Niliangalia status tatu za Demu flani apa Facebook, ilikuwa ivi.

STATUS YA KWANZA:
"Leo lazima niende club"
Friday at 5:15pm
via Nokia

STATUS YA PILI:
"lol, siamini aiseee... Yaani kizee cha miaka 60 kimeniambia kinataka kiwe na mimi usiku mzima afu anipe simu ya blackberry!! Inaboa, anadhani mi ni Malaya"
Friday at 11:23pm
via Nokia

STATUS YA 3:
"Wow,... Usiku wa Jana ulikua poa sana, najisikia poa sana asubuhi ya Leo"
Saturday at 8:09am
via BlackBerry

No comments:

Post a Comment