Friday, July 26, 2013

NANI MBABE

sikiliza mazungumzo haya...

wikipedia: ninajua kila kitu


google: nina kila kitu


facebook: namjua kila mtu


internet: bila mimi hamna kitu


umeme: endeleeni kuongea....


No comments:

Post a Comment