Haha Andunje alijamba (kwa sauti na harufu kali) darasani basi mwalimu wa somo la hisabati akamtoa nje ya darasa.
Akiwa nje akaanza kucheka kwa nguvu peke yake,
mara mwalimu mkuu akapita na kumuuliza.
M/mkuu: haya we Andunje unacheka nini na kwanini uko nje ya darasa?
Andunje: nilijamba darasani sasa mwalimu akanitoa nje ya darasa, sasa kinachonifurahisha ni kwamba mimi niko nje navuta hewa safi kabisa wao wako darasani wanapata tabu na harufu ya ushuzi wangu.
Muwe na siku njema
No comments:
Post a Comment