Life is Short.........ENJOY
Tuesday, August 20, 2013
ASANTE
Mama: "Mwanangu,njoo nikufundishe hesabu.."
Dogo: "Haya mama."
Mama: "Kwa mfano shangazi yako akikupa maandazi mawili, halafu akakupa tena maandazi mawili jibu lako litakuwa nini?"
Dogo: "Asante shangazi.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment