Siku moja mwalimu wa kike alikua anatoa Home work kwa wanafunzi wa darasa la sita .
Ilikua ni homework ndefu ikabidi aanze kuandika juu kabisa ya ubao , akiwa anaendelea kuandika huku amesimamia vidole ili aweze kufikia juu ya ubao . Mwalimu alikua ni mzuri na siku hiyo alivaa kimini .
Mara ghafla alisikia dogo mmoja ametoa mguno !!
Aligeuka na kumuuliza " kilichokufanya ugune nini patric ?"
[PATRIC]. " nomeona skin tyt yako imetokeza mguu wa kushoto na uzi una ning'inia "
[ MWALIMU] huku akigeukia ubao " toka nje darasani kwangu na pia adhabu yako usije shule siku tatu pumbavu watoto wasiku hizi hamna adabu "
Mwalimu aligundua kua hajaandika kichwa cha habari hivyo alilazimika kujinyoosha na kujipinda ili aweze fikia juu kabisa ya ubao . Mara akasikia mguno mwingine darasani aligeuka fasta ...
" Enhe na ww hussein una guna nn ? Kuna kinacho furahisha ?"
[HUSSEIN] " nimeona mapaja mwalimu na skin tyt yako nyeusi afu ina kama mpasuo "
[MWALIMU] kwa hasira " toka njee sitaki kukuona darasani kwangu , nadhani ni muda wakutoa adhabu Kali usije shule wiki tatu na ukija uje na mzazi wako "
Kwakua mwalimu alijiskia aibu na kutoheshimiwa alipata mawazo huku akiwa anaendelea kuandika mara ghafla akaangusha chaki , akageukia darasa na kuinama kuiokota ...
Sasa aliskia mwanafunzi mmoja wakiume akiguna na kucheka ,wengine walicheka kwa kujificha , alipo geuka upande wa kushoto , mara mwalimu alimuona dogo JOHN akitoka njee ya darasa ..
[MWALIMU] "kuja hapa john na ww unadhani unaenda wapi bila ruhusa ???"
[JOHN] " mwalimu mie nilicho kiona kwakweli nadhani NIMEMALIZA SHULE, nimefukuzwa hadi mtihani wa la SABA ...."
No comments:
Post a Comment