Mlevi alianguka watu wakajaa kila mmoja akatoa wazo lake:-
Mmwagieni maji kichwani,
Mpepeeni amekosa hewa huyo!,
Dogo mmoja akasema:-
"Njaa inamsumbua huyo, mchukulieni nusu kuku na castle baridi."
Mlevi akanyanyua kichwa taratibu nakusema:-
"Msikilizeni vizuri dogo"
Kisha akalala tena!!
No comments:
Post a Comment