CHONDECHONDE UKIKAMATWA NA POLISI USITOE MAJIBU HAYA
Tafadhali ukiwa unaendesha gari ukasimamishwa na
polisi tafadhali jizuie usitumie majibu yafuatayo:
- Hebu nishikie konyagi yangu nikutolee leseni
- Nilitaka na mimi kuwa polisi nikaona huu ufala
- Unajua mshahara wako unatoka kwangu mimi mlipa kodi?
- Bosi wako mwenyewe tulisoma nae praimari alikuwa mjingamjinga
- Umejuaje nimekunywa, au na wewe mdau?
- Jela zimetengenezwa kwa ajili yetu
No comments:
Post a Comment