Tuesday, October 28, 2014

NIMEKUMISS

Jamaa kamwambia demu...

Nimekumiss

Demu wacha amind.. .yuko..

We unaniona mie kibibi sio?? Kwa taarifa yako mi mbichi kabisa.... hata chuo sijamaliza    na vyeti ninavyo sijapoteza hata kimoja

Apo jamaa ikibidi ampooze kumuelewesha

Nlikua simaanishi we ni Miss... nina maana kwamba sijakuona mda mrefu saana!!

Ndo kidogo demu mzuka ukatulia....

No comments:

Post a Comment