UKITAKA UGOMVI NA UJUE KAMA MKEO NI
MARIDHIA BASI NI HAPA!
MUME: "Mke wangu mpenz!"
MKE : "Abee!! mume wangu mpnz pumzi ya maisha yangu!"
MUME: "Nakupenda sana mke wangu mlezi wa familia yangu!"
MKE : "Hata mie nakupenda sana mume wangu kipenz we ndio kila kitu ktk maisha yangu! Mmmmmmmwaaah!!!"
MUME: "Mmmmmmmwaaaa!!"
MKE : "Ahsante hny wangu!"
MUME: "Sasa kuna jambo nilikua nataka nikwambie mke wangu!"
MKE : "Ucjali mume wangu, mie kwa weye! sina la kusema."
MUME: "Cjui kama utaridhia mke wangu mpenz!"
MKE : "Jaman mume wangu! mie sina kinyongo kwa lolote utakalo niambia ili mradi liwe la kheri na la dini."
MUME: "Kwel mke wangu?"
MKE : "Kwel mume wangu",
MUME: "Uko radhi kwa nitakalo kwambia?"
MKE : "Niko radhi dunian na akhera!"
MUME: "OK! Me nilikua nataka kufuata sunna ya Mtume Muhammad (s.a.w)."
MKE : "Naam mume wangu, sunna ipi?"
MMUE: "Nilikua nataka kuongeza mke wa pili!"
MKE : "Nini??"
MUME: "ndio hivyo kama ulivyockia!"
MKE : "Mh! Makubwa jaman! Kha!"
MUME: "Kwann mke wangu?"
MKE : "Yaan wewe! Hujaona sunna zooote hizo mpaka hi ya kuongeza mke wa pili?"
MUME: "Lkn c umeniambia utaridhia mke wangu?"
MKE : "Niridhie nini? Niridhie nini? Umenichokaeeee?"
MUME: "Hapana mke wangu! Ucwe mkali!"
MKE : "Sasa je! Mbona unaniletea vioja leo hii?"
MUME: "Lkn dini c inaruhusu jaman!"
MKE : "Dini gan? Hebu nitokee hapa! tena
nakwambia hivi, ukitaka kuoa huyo mke, nipe talaka yangu sasa hivi!"
MUME: "Yamekua hayo?"
MKE : "Nasema hivi! Kama unataka kuishi na mimi ctaki kuckia habari hizo. Na kama umenichoka niambie mapemaaa nirudi kwa wazaz wangu. Nani anataka kuishi uke wenza hapa! Yan mwanaume balaa wewe cjapata kuona!"
MUME: "Dah!
KIDUME KACHANGANYIKIWA
SUBIRINI MPEWE RUHUSA KAMA MTAONGEZA MKE MAISHA
KILA WANAWAKE 100 UTAPATA MMOJA ANAERUHUSU.
No comments:
Post a Comment