Sunday, December 2, 2012

NANI MUUAJI??

SHULE YA MSINGI JANJAJANJA...

Ticha: Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa?

Dent 1: Sio mimi!

Dent 2: Walla sihusiki.!

Dent 3: Kwanza mimi jana sikuja shule.!

Ticha alipoona kuwa wanafunzi wote ni majuha, akaamua kumuita Mkuu wa shule. 

Mkuu akawauliza swali lile lile,

majibnu ya wanafunzi yakawa vile vile, Ndipo Mkuu alipomuita Mwalimu pembeni na kumnong'oneza.

"LAKINI UNA UHAKIKA MUUAJI YUPO DARASA HILI?"



No comments:

Post a Comment