Asubuhi ilipofika jamaa akaenda akajining‘iniza kwenye dali kama taa.
Bosi alipofika akashangaa na kuuliza
‘unafanya nini huko juu??‘
Jamaa:mm ni taa namulika ofisi
Bosi:naona kazi inakupa stress. nenda nyumbani ukapumzike.
Jamaa akashuka na kuanza ondoka na rafiki
yake pale ofisini naye akainuka akamfuata nyuma.
Bosi akashangaa na kumuuliza rafiki
‘na ww unaenda wapi??‘
Rafiki:sasa nitafanyaje kazi kwenye giza boss??
No comments:
Post a Comment