Saturday, December 8, 2012

VITUKO MAOFISINI

Jamaa mgeni kabisa kaajiriwa kwenye kampuni-akapewa supervisor mwanamke.

Supervisor: mheshimiwa, unaitwa nani?


Jamaa: Naitwa John...

Supervisor: John nani? Unajua jambo ambalo nimegundua ni kua watu wakiaanza kuitana kwa majina ya kwanza, mnazoeana na kazi haitofanyika. Mie si rafiki yako, mimi ni supervisor wako. Kwa hivyo nipe jina lako la pili upesi ndio nitakalokuita nayo!

Jamaa: naitwa John Mmewangu.

Supervisor: haya bwana John, endelea na kazi..



No comments:

Post a Comment