Chapombe kamuomba rafiki yake hela ya kwenda kunywa,
rafiki yake akamjibu: siwezi kukupa pesa ukanywe pombe. Niombe pesa kwa jambo lingine ila si pombe!
Chapombe: nikifa hutatoa mchango?
Rafiki: ukifa mchango lazima nitatoa.
Chapombe: basi nipe advansi ya huo mchango leo, nikifa utamalizia kabisa kilichobakia.
No comments:
Post a Comment