Thursday, March 7, 2013

MATOKEO NECTA

Johnny's NECTA results are finally out..

Baba Johnny: Johnny naskia results zilitokea?

Johnny: Daddy unakumbuka Patrick, yule alitop last year shule?? amefeli.

Baba Johnny: Wah!!! what happend?

Johnny: Unakumbuka Shiro pia? yule alikuwa ananifundisha maths?? amefeli pia

Baba Johnny: Ghai??? whats with her poor perfomance?

Johnny: Walai ata cjui..unakumbuk­a pia Chebet?? yule alikuwa anashinda science contest zote?? amefeli pia??

Baba Johnny: kweli?? Na yako ilikuaje?

Johnny: Unakumbuka hadi Headboy wetu?? amefeli ­ pia

Baba Johnny: (akiwa amekasirika) Johnny!!! na wewe umepata nini??

Johnny: baba wewe nawe, kama hao wote wamefail sasa unaexpect nini???


No comments:

Post a Comment