Sunday, May 5, 2013

MASAI KATISHA


Baada ya kupanda daladala aina ya DCM kutoka Mbagala Chalambe mpaka Mwenge na kulipa sh 500. Masai akachukua taxi wakati wa kurudi walipofika sasa shughuli ilikuwa hivi.

Masai: we dureva? Naulisa Ng'ombe na mbusi ipi ngali?

Dereva: Ni ng'ombe ghali Masai.

Masai: kwanini Ng'ombe ngali?

Dereva: kwa sababu ni mkubwa zaidi ya mbuzi

Masai: umepata..na mbusi na kuku ipi ngali

Dereva: ni mbuzi kwa sababu nae ni mkubwa kuliko kuku.

Masai: Umepata..

Masai: sasa me nimekwenda kule Mwenge kwa gari kubwa nikalitoa sh500 sasa hii yako ndogo unasema nikupe 40,000 wewe acha wizi..Nitakupa 250 Tu..wee acha ibia morani...!

1 comment:

  1. How often have you bought headsets but discarded them after some time,
    once they didn. One of the first recommendations to be made about powered laptop
    coolers is to, in general, stay away from folding coolers unless space and convenience are of premium concern.
    These buttons are a very cool feature for
    the mouse, so if you've never used a feature like this before, don't be too intimidated not to try them out.


    My site: Logitech - Force

    ReplyDelete