BABA: Mwanangu soma kwa bidii.. usitarajie kabisa kurithi Nyumba na mali zangu!
MTOTO: Kwanini??
BABA: Usione hii nyumba ilivyo nzuri na hizi mali zoote, Nimezipata kwa JASHO!
MTOTO: Basi zima hiyo A.C Niskie JASHO na mimi Nipate Nyumba na mali zangu!
Hi would you mind letting me know which webhost you're working with? I've loaded your
ReplyDeleteblog in 3 completely different internet browsers and I must say this
blog loads a lot quicker then most. Can you recommend a
good internet hosting provider at a honest price? Thanks a lot, I appreciate it!
Here is my page: omega juicer