Thursday, May 30, 2013

SOKSI ZA BABA

Mwalimu aliuliza swalI darasani,

Nitajie Kitu chochote chenye harufu kali na mbaya zaidi ya Mzoga na Choo


Juma Akanyoosha kidole akajibu "NI SOKSI ZA BABA"


No comments:

Post a Comment