Madenge baada ya kufaulu mtihan wa Form Four akaambiwa achague zawad yoyote aipendayo,
Madenge: nataka posa nikamuoe bibi maana ni siku nyingi amekuwa akiniita mchumba wake,
Baba Madenge: Shenz ww yule ni mama yangu mzaz huwez kumuoa,
Madenge: Mbona ww umemuoa mama yangu mzaz sijasema kitu!
No comments:
Post a Comment