niliwakuta mateja wanaangua maembe sasa kwa bahati mbaya pembeni ya embe kulikua na tawi kubwa linawazuia shabaha yao kulilenga embe lianguke...
mmoja akapanda akalivuta tawi la embe pembeni kukwepesha lile tawi kubwa kisha akashuka chini wakaendelea kutungua....
No comments:
Post a Comment