Jamaa alipeleka gari lake kwa fundi lipakwe rangi!
Fundi akauliza, "Lipakwe rangi gani?"
Jamaa akasema,
"Yeyote isipokuwa nyekundu, nyeupe, bluu, manjano, kijani, wairdi, nyeusi, chockleti, kijivujivu, maziwa, zambarau, orange...(na nyingi nyengnezo akazitaja!)
Lini nije kulichukua gari langu?"
Fundi akamjibu
"Njoo cku yoyote icpokuwa Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamis Ijumaa, J'mosi wala jumapili!"
No comments:
Post a Comment