Friday, April 13, 2012

CHIZI FRESH

Chizi Fresh alikuwa ufukweni akiwaza

Jamaa akamuuliza unawaza nini?

Chizi Fresh akajibu: 

"natafakari hii bahari ingekua supu ningeinywa na chapati ngapi?"

No comments:

Post a Comment