Friday, April 13, 2012

MLIO WA SIMU


Dingi kanunua simu mpya akiwa na mwanae sebuleni akitest milio

Kwa bahati mbaya dingi akajamba "Pwiii.."

Katoto kakadakia usiweke huo baba una harufu mbaya.

No comments:

Post a Comment