JINSI TUNAVYOISHI.....NA ATHARI ZAKE...!!
Katika kuwahi kwake shule siku hiyo Juma, alijikuta amechelewa kufika class
ambapo alikuta mwl Magdalena anafundisha.
akaingia kimyakimya mpaka kwa sehem yake. kumbe mwl akamshtukia
akasema kwa ukali
Mwl: Juma?! ndo nn hiyo? hebu toka afu ingia ka baba'ko anavyofanya kwenu!!
Juma akatoka nje mara punde akarudi,
akabamiza mlango kwa nguvu afu akamfata ticha akamla denda afu akauliza
kwa ukali
Juma: mke wangu, ugali uko wapi??!!
class zima hoi kwa kicheko!!!!!
No comments:
Post a Comment