Monday, April 23, 2012

MCHEZO WA KARATA NAO UTATA KWELI...




jamaa wawili walikuwa wanacheza karata porini. Mara wakapita wakulima bila kuwaona, 


wakasikia sauti inasema,




 "Weka jembe chini" 




Wakaweka majembe yao chini. 




"Weka kisu, wakaweka visu chini.. " 




naomba kopa, wakaangaliana hawana pakukopa... na hakuna anayetaka kukopa. 




kabla hawajamaliza kutafakari wakasikia....




"Weka mavi chini, ikabidi mmoja wao anye palepale. 




Mara wakasikia 




"Kama huna mavi lamba, ikabidi yule ambaye hajanya alambe ya mwenzake.... 




Mara wakackia " LAST CARD......GAME OVER". 




Wakashtuka kumbe kuna watu walkuwa wanacheza karata!!..............

No comments:

Post a Comment