Monday, November 19, 2012

IMEKUAJE KAZIMIA...??

Wadada watatu walikuwa wamekaa pamoja wakinywa juisi kwenye mgahawa;

MDADA 1: Najua mume wangu sio mwaminifu jana nimekuta chupi ya mwanamke kwenye mfuko wa koti lake


MDADA 2: Hata wangu siyo muaminifu, jana nimekuta condom kwenye mfuko wake wa suruali , nilichofanya nikachukua pini nikazitoboa toboa zote nikazirudisha kwenye mfuko.


MDADA 3: ghafla kapaliwa na juisi na kudondoka akazimia



1 comment:

  1. Awesome blog! Is your theme custom made or did you download it from somewhere?
    A design like yours with a few simple tweeks would
    really make my blog stand out. Please let me know where you
    got your design. Cheers
    Here is my site ... skin lightening cream

    ReplyDelete