Tuesday, November 13, 2012

KILICHOFUATA.......

Jamaa flani aliamka asubuhi na mapema,wakati mvua kali inanyesha akang'ang'ania kwenda kazini...akamuacha mke wake kitandani bado amelala.

Akawasha gari lake akaondoka,alipofika njiani hali ilikuwa mbaya akaamua kurudi.

Kufika home;akavua nguo,akaingia tena kitandani kisha akamnong'onezea mkewe aliyekuwa usingizini,"Yaani hali ya hewa huko nje mbaya kweli!"


Mke akajibu,





"Si ndio mi nashangaa na yule mburukenge wangu...eti ameenda kazini."
.
.
Tafakari yaliyofuata!



No comments:

Post a Comment