Tuesday, January 15, 2013

ANAMNYONYESHA

Mlokole mwenye guest alikataa yanki mmoja aliyekuja na mama mtu mzima kupata chumba akisisitiza kuwa guest yake hairuhusu uasherati. 

Yule mama akaja juu na kumwambia Mlokole kuwa yule kijana ni mwanae, basi wakapewa chumba. 

Mlokole akamtuma muhudumu mmoja akachungulie kwenye dirisha la wapangaji hao ili kuona kama kweli ni mtu na mzazi wake. 

Baada ya muda muhudumu akarudi na jibu,

' Mzee kweli wale ni mtu na mtoto wake, nimemuona yule mama anamnyonyesha mwanae'

No comments:

Post a Comment