Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,
Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,
Daktari : Hebu vua nguo tuone,
Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.
Daktari : usijari mimi hii ndo kazi yangu siwezi kumcheka mgonjwa.
Jamaa akavua suruali kuonesha dushelele yake.
basi dokta kuona ustaarabu ukamshinda akaanza kucheka na akacheka kama dk 3 hadi machozi yakamtoka.
kwani dushelele ya jamaa ni kadogo kama betri Ya AAA (betri za remote ya king'amuzi).
Daktari alipomaliza kucheka mazungumzo yakaendelea,,
Daktari : enhee Tatizo ni nini???
Jamaa: IMEVIMBAA toka juzi,
Daktari Akazimia pale pale........
No comments:
Post a Comment