MCHAGA anamdai MPARE hela. Huku MSAMBAA akishuhudia
MPARE:nimesema sikupi bora nijiue... (kwa ubahili wake mpare akajichoma kisu akafa)
MCHAGA:kiruu umejiua mbee sikubali na kufuata huko huko unipe pesa yangu (kwa kupenda hela mchaga nae
akajichoma kisu ili amfuate)
MSAMBAA:tateee nane nane..yaani hawa wanataka kuninyima uhondo wanaenda kudaiana huko ili nisione,walah sikubali nami najichoma (msambaa kwa umbea tu,na uboya wake nae akajichoma akafa!
Sasa hapo nani mbulula??
No comments:
Post a Comment