Wapendanao walienda likizo mkoani MWANZA , waliamua kujipumzisha katika HOTELi ilioyo Kua karibu na ZIWA , MUME alipenda sana Kuvua Samaki wakati MKE yeye Hupendelea Kukaa Chini na Kujisomea Story za NYEMO CHILOGAN ,Hoteli ilikuwa na Boti mojaa kwa ajili ya Wageni wa Hoteli hiyoo kazi yake ilikuwa kuvua na kutaliii Talii Hapo Ziwani.
Siku Moja Asubuhi MUME alienda Ziwanii na Boti Hiyoo Katembeaa tembea Ziwani na kuvuaa Samaki wawili watatu , kisha akarudi Hotelini Hapo , MKE aliamua kupanda BOTI na kuiwasha nakwenda zake ziwani kuangalia Mazingira pembezoni japo hakujuaa wapi aendapo , Mara gaflaa alisimamishwa na ASKARI aliekuwa pembezoni akamuuliza ,
Hebu Paki kwanza Pembeni Hii Boti na usizidi Kwenda Mbalii ....
"kwanza Kabisaa Shikamoo Mama ! waweza niambia Unafanya nini sasa Hivi hapo ulipo ? "
" nina Soma Kitabu " alimjibu askari huku akimuonesha Kitabu mbele Ya Boti
" Hapo ulipo Upo Unavuaa Samaki Sehemu ambayo huzuiwa Ziwani , ni PRIVATE area , eneo la jeshi la polisi "
"lakini Baba Si unaona Mie Sivui Samaki ! si unaona Mwenyewe , sasa Mie kosa Langu nini?"
" lakini mie nakuona unavifaa vyotee vya kuvulia Samaki kwenye hii BOTI, Kwakweli naomba ushuke twende Kituoni Kwa Taarifaa zaidi na kuna faini Ya kulipia na maelezo ya Boti nishachukuaa "
" Ukifanya Hivyoo kaka Yangu nitafungua Kesi kuwa ULINIBAKA Katika Boti " alisema Mwanamke huyoo
" Hee wewe mie Hata kukugusa sijakugusaaa " alisemaaa Askari huyoo wa Usalama
" Hiyoo ni kweli Kabisaa ASKARI .....Lakini Si vifaa Vyote Vya Kunibaka Unavyoo ??? "
No comments:
Post a Comment