Sunday, February 3, 2019

UPUUZI UKIKUTANA NA UJINGA


👩🏽 : Mambo

🧑🏽 : Poa, Nani?

👩🏽 : Mi Happy

🧑🏽 : Happy Nani? 

👩🏽 : Unawajua Happy wangapi?

🧑🏽 : Mmoja

👩🏽 : Yupi

🧑🏽 : Happy Birthday

😹😹😹😹😹😹

KUCHAJI SIMU

Hivi ushawahi kuweka simu kwa chaji usiku ukalala zako.. 

Kuamka asubuhi wagundua hukuwasha socket ukutani...


Maumivu yake yanakuaje!??


Hebu yasimulie.....