Thursday, May 24, 2012

KUWA MAKINI

Baba: Unamjua Julius Nyerere? 

Mtoto: Hapana simjui


Baba: Pumbavu sana kuwa makini na masomo yako..


Mtoto: Haya. Na wewe unamjua Hamisi? 


Baba: Hapana Simjui


Mtoto: Pumbavu sana Kuwa makini na Ndoa yako..


No comments:

Post a Comment