MLEVI alipoteza funguo ya nyumba yake usiku sasa anatafuta tafuta, jamaa m1 akamuona ikabidi amuulize...
JAMAA-ebwana kwani umepoteza nini?
MLEVI-funguo ya hme
JAMAA-pole sasa umeipotezea wapi?
MLEVI-kuleeee (akionyesha umbali kdg na alipo afu kuna kigiza giza kdg)
JAMAA-duh! sasa kama umepotezea kule mbona waitafuta hapo?
MLEVI-ah! we mpuuuzi nini we huoni kule kuna giza ntaipataje? ndo maana nimekuja kuitafuta hapa kwenye mwanga...
No comments:
Post a Comment