Teja(mvuta bangi) alipoteza funguo za nyumba yake usiku akawa anatafuta tafuta,
jamaa mmoja akamuona ikabidi amuulize
JAMAA:"Oya kwani umepoteza nini?"
TEJA:"Funguo za home"
JAMAA:"Pole sana.....umepotezea wapi?"
TEJA:"Kuleeee (akionyesha mbali kwenye giza)
JAMAA:"Duh! Sasa kama umezipoteza kule mbona wazitafuta hapa?"
TEJA:"Aaah we mpuuzi nini!! Kwani huoni kule kuna giza nitazipataje? Ndio maana nimekuja kuzitafuta hapa kwenye mwangaza"
As the admin of this web site is working, no hesitation very
ReplyDeleteshortly it will be famous, due to its quality contents.
my web site - magic flight launch box where to buy