Saturday, May 26, 2012

MJUKUU KADONDOKA

Jamaa kapita pembeni ya nyumba ya ghorofa moja, si akaangukiwa na condom imetumika. Kwa hasira akaenda kupiga hodi kwenye nyumba ile, akatoka mtu mzima mmoja;

Jamaa: Nauliza nani anaishi hivyo vyumba vya juu?


Mwenye nyumba: We chizi nini inakuhusu nini?


Jamaa: Nauliza tena nani anaishi huko juu?


Mwenyenyumba: Anaishi mwanangu na mkewe


Jamaa: Basi mjukuu wako kanidondokea


No comments:

Post a Comment