Life is Short.........ENJOY
Tuesday, May 29, 2012
UJINGA
UJINGA ni kuweka picha ya daktari kwa nyumba yako, ati ndio maumivu yakizidi unamuona daktari.
UJINGA ni kuenda kwa bank na spanner na pliers ati unaenda kufunguwa account.
UJINGA ni MTU kuenda kwa supermarket na kuuliza nani anauza ?.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment