Thursday, May 17, 2012

WALIPOVAMIWA HALI IKUA HIVIIII...

 kuna majambaz walivamia nyumba moja .


wakamkuta chalii na mama yake.kuwaweka chni ya himaya yao kabla ya kuwaua na kuiba vitu wakaanza kuwaulza maswal.


jambaz ....we mama unaitwa nan?.. 


mama.... naitwa neema michael..


jambaz....mama umesalimika kwakua jina lako limefanana na la mama yangu...


na wewe kijana unaitwa nani. 


chalii...mi naitwa joel gaspar ila la kazini uwa naitwa neema michael..

No comments:

Post a Comment