maswali ya kijinga majibu ya kipuuzi
1. SWALI:"Ni mvua inanyeshe?"
JIBU:"Hapana ni supu yamwagika"
2. SWALI:"Hiyo gazeti ni ya leo?"
JIBU:"Hapana ni gazeti yangu!"
3. MWALIMU MKUU:"Umemuona school captain?"
MWANAFUNZI:"Sikuwa namtafuta!"
4.SWALI:"Unakula?"
JIBU:"Hapana nabusu kijiko"
5.SWALI:"Unangojea lift uende juu?"
JIBU:"Hapana nangojea ofisi ishuke chini"
6.SWALI:"We ndio wa mwisho kwenye line?"
JIBU:"Hapana mi ndio wa kwanza tumesimama kinyumenyume"
7.SWALI:"Umeamkaje?"
JIBU:"Kwakufungua macho na kutoka kitandani na miguu yangu miwili!"
8.(Mama anauliza mtoto)
SWALI:"Wataka kulia enh?"
(jirani wake kamjibu)
JIBU:"Labda amechoka na kushoto"
No comments:
Post a Comment