Monday, May 28, 2012

VITUKO USWAHILINI


Mtoto mmoja mzaliwa town alienda kijijini na baba yake,wakiwa njiani mtoto akaona mavi ya mbuzi,akashangaa na kumuuliza babake


"Baba hiki nini?"


Baba yake akajibu,


"Vidonge vya akili hivyo ukila vinaongeza akili"


Mtoto akachukua akatia mdomoni,baada ya muda kidogo akatema, akamuambia babake


"Baba mbona vinaonja kama choo?" 



Babake akajibu 


"Unaona umeshaanza kuwa na akili"

No comments:

Post a Comment