Tuesday, May 22, 2012

JIBU LA UKWELI

Jamaa yupo na mke wake safarini wote wapo kimya ndani ya gari coz dakika chache zilizopita walikuwa na
ugomvi....



sasa katikati ya safari wakaona

nguruwe njiani....



mke akamuuliza jamaa


"hvi wale ndugu zako?!" 


jamaa akasema 


"ndio ni wakwe zangu wale"

No comments:

Post a Comment