Thursday, May 17, 2012

ZUZU MAHAKAMANI

Zuzu alishtakiwa na kisha alifikishwa mahakamani, siku ya kesi alipandishwa kizimbani. 


Hakimu alipokua anaingia mahakamani karani akasema 


"Order.!!! Order.!!!"


Zuzu akasema; 


"Wali nyama na Soda Baridii..!!!"

No comments:

Post a Comment