kati ya hawa nani msahaulifu wa
1: alikuwa anakula huku anagonga gonga meza mara akaacha na kuitikia "ingia mlango upo wazi PITA TU"
2: alikuwa anacheka akatokwa na machozi ya furaha lakini ghafla akasahau na kujiuliza alikuwa anacheka au analia
3: alikuwa anapandisha ngazi mara simu ikaita akasimama na kupokea lakini alipomaliza kuongea na simu akawa anajiuliza kama alikuwa anapanda au anashuka.........
No comments:
Post a Comment