Wednesday, September 12, 2012

MAKUBALIANO

JAMAA: I love you sweetie.

BINTI: I love you too...ila tupendane tu, mambo ya ngono sitaki namtunzia mume atakayenioa.


JAMAA: Hilo si tatizo, na mimi mambo ya kuniomba pesa sitaki namtunzia mke nitakayemuoa.



No comments:

Post a Comment