Tuesday, September 18, 2012

MZEE KAINGIA TOWN

Mzee mmoja katoka kijijini kaenda kumtembelea mwanawe mjini.

Kufika akapewa vyakula vingi sana akala,akashiba kweli kweli.Akamwambia mwanawe,"Dah, nimeshiba kweli...tumbo limejaa!!"

Mwanawe akasema,"Haya wacha nikakuletee tissue."

Mzee akateta,


"Mwanangu,unataka nife! Eka iyo tissue nitakula kesho."

No comments:

Post a Comment